WAKIMBIZI TOKA BURUNDI NCHINI TANZANIA WAANZA KUREJEA NYUMBANI BURUNDI
Wakimbizi kutoka nchini Burundi waliokimbilia nchini Tanzania na kupewa hifadhi baada ya ghasia kuzuka nchini humo mwaka 2015 wameanza kure...
Wakimbizi kutoka nchini Burundi waliokimbilia nchini Tanzania na kupewa hifadhi baada ya ghasia kuzuka nchini humo mwaka 2015 wameanza kure...
Rais wa Nigeria amepigwa picha akiwa mjini London kwa mara ya kwanza tangu andoke nchini mwake karibu siku 80 zilizopita. Rais Muhamm...
Mataifa ya Tanzania na Kenya yalifanikiwa kuandaa mkutano ambao utapelekea kuondolewa kwa marufuku ya bidhaa zinazoingia katika mataifa hay...
Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Hamis Juma amewataka Mawakili wapya kufanya kazi kwa kuzingatia maadili ya taaluma ya uwakili na ...
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto Mh. Dk.Hamisi Kigwangalla mapema leo amempokea Samwel Mwanyika mwenye ugon...
Mtoto mmoja mwenye umri wa miezi minne ameibiwa katika mtaa wa ustawi wa jamii kata ya Nyamanoro wilayani Ilemela Jijini Mwanza. Imeel...
Katibu Mkuu wa Shirikisho Soka Tanzania (TFF), Celestine Mwesigwa amemtembelea nyumbani kwake aliyekua nahodha Serengeti Boys, Issa Maka...
Mshambuliaji wa zamani wa Simba, Daniel Sserunkuma amekamilisha uhamisho wake wa kujiunga na klabu ya Ittihad Riadi Tanger inayoshiriki l...
Mshindi mara nane wa michuano ya Olimpiki Usain Bolt amesema anaweza kuendelea kukimbia hata baada ya mbio za dunia mwaka 2017 lakini itaku...
Everton wanakaribia kumnunua mshambuliaji chipukizi wa Nigeria anayevuma sana Henry Onyekuru kutoka klabu ya KAS Eupen ya Ubelgiji. Henr...
Taarifa kutoka magharibi mwa Kenya zinasema kuwa mtuhumiwa wa wizi wa gari alijisalimisha kwa polisi baada ya kuvamiwa na nyuki akiliendesh...
China imeishutumu India kwa kuvamia himaya yake kati ya Sikkim na Tibet katika mzozo ambao umezua hali ya wasiwasi kati ya mataifa hayo maw...
Waziri mkuu mstaafu na mwanachama wa Chama cha Chadema Mh: Edward Lowassa, amehojiwa na kuondoka katika ofisi ya mkurugenzi wa uchunguzi wa...
Google imepigwa faini ya ya dola bilioni 2.7 na tume ya ulaya baada ya tume hiyo kuamua kuwa Google ilikuwa imekiuka mamlaka yake ya kuweka...
Mhe. Rais Magufuli amekutana na timu ya wataalam wa masuala ya umeme na ujenzi wa miundombinu ya mabwawa ya maji kwa ajili ya kuzalisha ume...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 27 Juni, 2017 ameagana na wafanyakazi wa iliyokuwa Ofisi y...
SERIKALI imeahidi kuongeza kasi katika zoezi la ukamataji wa wahusika wa matukio ya mauaji yaliyotokea Kibiti,Rufiji na Mkuranga mkoani Pwa...
Uhamisho wa kuelekea Manchester United unaweza ''kunishawishi'' amesema kiungo wa kati wa Monaco Fabinho ambaye amehusishwa...
Mshambuliaji wa kujitoa mhanga ajilipua baada ya kugundulika na vikosi vya usalama jijini Makkah. Shambulio hilo linatokea ikiwa ni takr...
Kufuatia moto uliotokea katika jumba l a Grenfell Tower,sasa mamlaka jijini London inahofia usalama wa moto katika majengo mengine kadhaa ji...
Miongoni mwa waliosamehewa ni mfanyabiashara maarufu Hesham Talaat Moustafa ambaye alihukumiwa kifungo cha miaka 15 jela kwa makosa ya ...
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Kazi,Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu Mh Anthony Peter Mavunde amezitaka benki na Taasisi za Fedha k...
MAKAMU wa Rais Samia Suluhu Hassan amezitaka kampuni zilizowekeza katika sekta ya mafuta na gesi nchini kuhakikisha zinanunua huduma na bid...
Watu wasiojulikana wamechoma msitu wa Kirando wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa ambao umeunguza miundombinu ya umeme ya Shirika la umeme Nchini ...
Rai s wa Tanzania John Magufuli ameshutumiwa kwa matamshi yake kwamba wasichana wanaojifungua hawafai kuruhusiwa kurudi shule. wanafunzi...