Latest News

SHAMBULIO LA BOMU LATOKEA SAUDIARABIA KARIBU NA MSIKITI MTUKUFU WA MAKKAH

Mshambuliaji wa kujitoa mhanga ajilipua baada ya kugundulika na vikosi vya usalama jijini Makkah.
Shambulio hilo linatokea ikiwa ni takribani siku mbili tu zimesalia kwa waislam wote ulimwenguni kusherehekea sikukuu ya Eid el fitir.
Shambulizi hilo lilikuwa linalenga msikiti mkuu wa Makkah.
Mshukiwa huyo alijilipua baada ya kuwa na mapigano ya kurushiana risasi na vikosi vya usalama wakati kulikwa na operesheni dhidi ya ugaidi katika mtaa wa Ecyad Al-Masafi.
Katika mlipuko huo ulisababisha uharibu wa jumba la ghorofa 3 huku raia wa kigeni 6 na afisa wa polisi 5 kujeruhiwa .
Washukiwa 5 wa ugaidi miongoni mwao mwanamke walikamatwa kufuatia tukio hilo la ugaidi.

No comments:

Post a Comment

NAKUJUZA Designed by Templateism.com Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.
Published By Gooyaabi Templates