Kansela wa zamani wa Ujerumani Helmut Kohl ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 87 .
Helmut Kohl |
Kohl ni kiongozi wa aliyechangia katika kuunganisha Ujerumani na Umoja wa Ulaya baada ya vita baridi .
Kohl ameripotiwa kufariki akiwa katika nyumba yake maeneo ya Ludwigshafen.
Kiongozi huyo amekuwa akihudumia Ujerumani tangu mwaka 1982 hadi mwaka 1998 .
No comments:
Post a Comment