Latest News

SERIKALI YAVIONYA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU SAKATA LA MCHANGA WA MADINI.

Serikali ya Tanzania kupitia Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imevitaka vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuacha kuwatuhumu Marais wastaafu kwenye sakata la mchanga wa madini kwani majina yao hayajatajwa kwenye ripoti ambayo Rais Magufuli ameipokea.
Waziri wa habari,utamaduni,sanaa na michezo Dkt Harison Mwakyembe akiwa na waandishi wa habari.

Katika taarifa ambayo imetolewa na Waziri Mwakyembe imeeleza kuwa kuna baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii wamekuwa wakituhumu Marais wastaafu bila kujua athari zake kiasiasa na kijamii.

No comments:

Post a Comment

NAKUJUZA Designed by Templateism.com Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.
Published By Gooyaabi Templates