Latest News

WIZI WA SAMANI WATISHIA KUHARIBU URITHI WA DUNIA.

Wananchi Wilayani Kilwa Mkoani Lindi wameiomba serikali kulinda vivutio vya utalii vya magofu ya kale ambavyo ni urithi wa Dunia ili viwe endelevu kwa vizazi vijavyo.
Magofu ya kale mkoani Lindi.

Rai hiyo inatokanana baadhi ya milango kwenye magofu hayo imeanza kungo'lewa na kuuzwa hali inayoonekana magofu hayo yako hatarini kutoweka kwenye urithi wa Dunia.

No comments:

Post a Comment

NAKUJUZA Designed by Templateism.com Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.
Published By Gooyaabi Templates