Latest News

RAISI WA UTURUKI RECEP ERDOGAN AKOSOA MSIMAMO WA NCHI ZA GHUBA DHIDI YA QATAR

Rais wa Uturuki,Recep Tayyip Erdogan,siku ya Jumatatu (Jana) alikosoa vikwazo zilizowekwa dhidi ya Qatar na kusema hazikuwa za kibinadam wala za kiislamu na akatoa wito kwa nchi zilizohusika kutatua mgogoro.
Raisi wa Uturuki Recep Erdogan

Akiwa anahutubia mkutano wa wanasheria mjini Ankara, rais huyo alisema kuwa Qatar ni mmoja ya nchi zinazopambana na ugaidi na haoni kama ni inasaidia katika ugaidi.

Alimuomba mfalme wa Saudi Arabia , Salman bin Abdulaziz al-Saud, kuchukuwa nafasi ya kuongoza mchakato wa
 kutatua migogoro hiyo.

No comments:

Post a Comment

NAKUJUZA Designed by Templateism.com Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.
Published By Gooyaabi Templates