Latest News

KIMBUGA CHA ATHIRI USAFIRI WA ANGA HONG KONG

Kimbunga kilichotokea kusini mwa China kimesababisha ndege 350 kubadilishiwa muda na huku nyingine 44 kuahirishwa mjini Hong Kong. Kwa mujibu wa habari,kimbunga hicho kimeanzia baharini kusini mwa China  na kusababisha ndege kati ya Hong Kong na Pekin,Shangai na Taipen kuahirishwa.

Ripoti zinaonyesha kuwa kimbunga hicho kimesababisha mvua kali,dhoruba na tahadhari ya hali ya juu kuchukuliwa toka usiku wa jana.
Kimbunga hicho kimaweza kusababisha athari zaidi jinsi muda unavyozidi kwenda.

No comments:

Post a Comment

NAKUJUZA Designed by Templateism.com Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.
Published By Gooyaabi Templates