Miongoni mwa waliosamehewa ni mfanyabiashara maarufu Hesham Talaat Moustafa ambaye alihukumiwa kifungo cha miaka 15 jela kwa makosa ya kuajiri mtu kumuua Suzanne Tamim,msani wa muziki wa Pop kutoka Lebanon mwaka 2008 .
ABDE FATTAH. Raisi wa Misri. |
Wengi ya wafungwa waliosamehewa ni vijana walioshiriki maandamano pamoja mikutano ya kusababisha vurugu.
Kati ya waliosamehewa 25 wameripotiwa kuwa wanawake .
Baada ya kuingia madarakani kupitia mapinduzi ya mwaka 2013 ,serikali ya Al Sisi imekuwa ikiwakamata wafuasi wa chama cha Muslim Brotherhood huku kadhaa wakiuawa na maelfu kurushwa gerezani.
No comments:
Post a Comment