Kiongozi wa shirika la kabumbu la kimataifa la FIFA Gianni Infantino azungumzia kuhusu Qatar na mataarisho ya kombe la dunia la mwaka 2022
Kiongozi wa shirika la kabumbu la FIFA Gianni Infantina asema kuwa licha ya mzozo kujitokeza bain aya mataifa kadhaa ya Ghuba na Qatar , Qatar itaendelea kujiataarisha na uandaaji wa kombe la dunia la FIFA la mwaka 2022.
Kiongozi huyo alizidi kusema kuwa uongozi wake unafuatilia kwa karibu mzozo wa Qatar na mataifa Ghuba .
Alimalizia akisema kuwa iwapo kabumbu linaouwezekano wa kuchangia suluhu basi FIFA haitosita kutoa mchango wake na kupatia suluhu.
No comments:
Post a Comment