Latest News

AFRIKA KUSINI YAADHIMISHA MIAKA 41 TANGU KUTOKEA KWA MAUAJI YA SOWETHO

Raia nchini Afrika Kusini waadhimisha miaka 41 tangu mauaji ya wanafunzi weusi na polisi weupe wa ubaguzi wa rangi.
Raisi wa Afrika kusini alifungwa takribani miaka 20 katika kipndi cha kupigania uhuru wa  nchi hiyo chini ya ukoloni adhimu wa kikaburu.                     

Wanafunzi weusi walikuwa wanaandamana katika kitongoji cha Soweto jijini Johannesburg mnamo mwaka 1976 kupinga lugha ya Afrikaans kutumika kama lugha rasmi katika shule .
Kipindi hicho serikali ilikuwa chini ya watu weupe,polisi waliwaua wanafunzi hao waliokuwa wanaandamana kwa risasi .
Wanafunzi wengi waliuawa na idadi kamili ya waliouawa haijulikani .
Hafla mbali mbali kote nchini zimeandaliwa na serikali na upinzani ishara ya heshima kwa wanafunzi waliojitoa mhanga kipindi hicho.

No comments:

Post a Comment

NAKUJUZA Designed by Templateism.com Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.
Published By Gooyaabi Templates