Latest News

ZAIDI YA WAHAMIAJI 100 WAKAMATWA NCHINI MEXICO

Mamlaka nchini Mexico imegundua wahamiaji 112 wakiwemo watoto wakiwa hai nyuma ya gari ambalo lilikua linaelekea nchini Marekani.
Miongoni mwao kulikuwa na watoto pia.

Maofisa wa serikali wanasema kuwa gari hilo lilikamatwa wakati likiwa sehemu inayounganisha miji ya Chiapas na Tabasco.
Wahamiaji hao wanasemekana kutoka nchi za Guatemala, El Salvador, Honduras na Ecuador.
Maelfu ya raia wa Amerika ya Kati hujaribu kutoroka nchi zao na kuingia Marekani kuimbia umaskini na vita.
Dereva wa gari hilo amekamatwa.

No comments:

Post a Comment

NAKUJUZA Designed by Templateism.com Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.
Published By Gooyaabi Templates