Latest News

MOROKO YAUNGANA NA QATAR.

Wiki moja  baada ya baadhi ya nchi za Gu-huba kutangaza kusitisha ushirikiano na Qatar Morocco yatuma ndege za chakula kuelekea Qatar
Saudi Arabia,Falme za kiarabu,Bahrein na Misri  zilitangaza kusitisha ushirikiano wa kidiplomasia na Qatar.
Kufuatia mzozo huo huo Morocco imechukua uomuzi wa kujiunga na Qatar na kutuma ndege za chakula nchini Qatar ili kukidhi mahitaji ya raia.

Qatar imewekewa vikwazo na mataifa jirani iikituhumiwa kuunga mkono ugaidi.
Tangazo lililotolewa na ofisi ya waziri wa mambo ya nje wa Morocco lilisema kuwa hatua ya Morocco ya kutuma ndege hizo za chakula imechukuliwa na mfalme Mohammed VI.
Tangazo hilo lilikumbushia kuwa mshikamano unaotolewa ni wito hasa katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhan miongoni mwa kiislamu.

No comments:

Post a Comment

NAKUJUZA Designed by Templateism.com Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.
Published By Gooyaabi Templates