Mwanamume mmoja ahukukimiwa miaka 35 jela kwa kuikosoa familia ya kifalme ya Thailand.
Mfalme wa Thailand. |
Mahakama moja Bangkok ilimhukumu mwanamume huyo wa miaka 34 miaka 35 jela kwa kutumia account ya Facebook ya mtu mwengine wa mtandao huo na kusambaza picha na video za familia hiyo .
Mwanamume huyo alipatikana na makosa ya kutumia akaunti ya Facebook ya mtu ambaye anatambulika kuwa mvumi.
No comments:
Post a Comment